Habari RFI-Ki

Habari RFI-Ki

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

00:00
00:00

Resumen del episodio

Kiongozi wa kijeshi nchini Sudan, Abdel Fattah al-Burhan, ameapa kuchukua kila sehemu ya ardhi ya nchi yake iliyo chini ya udhibiti wa wapiganaji wa RSF, huku akikataa majadiliano yanayolenga kumaliza vita nchini humo.

Episodios

1165-

Mzozo wa Sudan waendelea, kiongozi wa kijeshi akikataa mazungumza na RSF

Kiongozi wa kijeshi nchini Sudan, Abdel Fattah al-Burhan, ameapa kuchukua kila sehemu ya ardhi ya nchi yake iliyo chini ya udhibiti wa wapiganaji wa RSF, huku akikataa majadiliano yanayolenga kumaliza vita nchini humo.

09 oct. 2026
1164-

Kenya imeripoti maambukizi ya kwanza ya virusi vya Ebola aina ya Bundibugyo

07 oct. 2026
1163-

Maadhimisho ya Siku ya kimataifa ya Walimu, kutambua mchango wao katika kujenga jamii

Licha ya hatua zilizopigwa, walimu kwenye nchi nyingi za Afrika wanalipwa mishahara midogo na wanafanya kazi kwenye mazingira magumu.Tunakuuliza je, walimu wanathaminiwa vya kutosha katika jamii yetu? Nchini mwako hali ikoje na nini kifanyike kuthamini na kuboresha maslahi ya walimu?

05 oct. 2026
1162-

Maoni ya wasikilizaji kuhusu matukio mbalimbali ulimwenguni juma hili

Kila siku ya Ijumaa tunakupa nafasi uzungumzie jambo ambalo umeliwazia wiki hii au pia habari kuu ulizozisikia katika matangazo yetu ya juma hili.

02 oct. 2026
1161-

Manufaa ya kiwanda cha kusafisha mafuta huko Lamu nchini Kenya.

Makala haya yameangazia mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta huko Lamu nchini Kenya, kitakachojengwa na Bilionea wa Afrika, Aliko Dangote, kiwanda hiki kikitarajiwa kukamilika ndani ya miaka mitatu na kitagharimu Dola za Marekani Bilioni 16. Tumeuliza msikilizaji anazungumziaje uwekezaji huu, hasa kwakuwa unafanywa na raia wa Afrika.

02 oct. 2026