Resumen del episodio
Kwame anafurahia kurudi kwenye kituo cha utafiti ambapo Profesa Omar anamwelezea Natalie kuhusu utafiti wake....
Kwame anafurahia kurudi kwenye kituo cha utafiti ambapo Profesa Omar anamwelezea Natalie kuhusu utafiti wake....
Episodios
Kwame arudi kwenye kituo cha utafiti,.
EscuchadoKwame anafurahia kurudi kwenye kituo cha utafiti ambapo Profesa Omar anamwelezea Natalie kuhusu utafiti wake....
Hatimaye Profesa awa huru,Kwame apongezwa
EscuchadoHatimaye Prosefa Omar aokolewa,watekaji nyara watiwa nguvuni na Kwame apongezwa na kila mtu kwa ushujaa wake wa kufatilia hadi kufanikisha Profesa Omar anapatikana.
Polisi yawaweka chini ya ulinzi watekaji nyara kabla ya kumuokoa Profesa Omar...
EscuchadoProfesa anakutwa hoi,Kwame anawashawishi askari polisi kuwatia nguvuni watekaji kabla hawajatoroka au kuwadhuru.
Kwame na polisi wanafanikiwa kufika katika eneo aliloshikiliwa Profesa Omar
EscuchadoKwame na polisi wanakubaliana kumtanguliza Kwame mahali aliposhikiliwa Profesa Omar ili kuhakikisha usalama wake kabla ya kumuokoa na kuwatia nguvuni watekaji nyara...
Kwame afanikiwa kuwashawishi polisi na kuondoka nao..
EscuchadoSafari hii,Polisi wanamzuia Kwame kumpata Profesa Omar akiwa peke yake.Wanampangia njama kali asifanikiwe,lakini anafanikiwa kuwashawishi na kuambatana nao kuelekea katika dimbwi la Garkoe kumwokoa Profesa Omar.....fuatilia